1750 Alumni +255 752 244 933, +255 766 659 974, +255 768 108 715 st@karoloboromeo.ac.tz

Online Payment

Pay for your admission form through mobile payments

Start Your Application Process

Click the button below to send your information via WhatsApp

Send Information via WhatsApp

Hatua ya 1: Tumia WhatsApp

Tumia button ya WhatsApp hapo juu, kutuma ujumbe mfupi wenye taarifa binafsi kama:

  1. Jina kamili la Mwanafunzi
  2. Umri
  3. Jinsia
  4. Jina kamili la Mzazi
  5. Namba ya Mawasiliano (Tumia namba ambayo utakayofanyia malipo)

Hatua ya 2: Pokea Control Number

Baada ya kutuma taarifa hizo utapokea ujumbe mfupi wenye majina ya mwanafunzi na control number yake ya malipo.

Hatua ya 3: Fanya Malipo

Unaweza ukafanya malipo kwa mitandao ya simu. Chini ni maelekezo ya kufanya malipo kwa njia ya CRDB:

Njia za Malipo (Payment Methods)
CRDB Mobile Banking

Dial *150*53# and follow the prompts

CRDB Bank

Visit any CRDB branch with your control number

Other Mobile Networks

M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, HaloPesa

Hatua ya 4: Pokea Form

Baada ya hapo, tukisha hakiki taarifa za malipo kwenye mfumo wetu, utatumiwa form hiyo kwa njia ya WhatsApp tayari kwa kudownload.

ANGALIZO (Important Notice)

Mara tu baada ya kupokea link ya ku download admission form, na kuipakuwa unashauriwa kufika stationary ya karibu na wewe kwa ajili ya ku print na kujaza.

Urahisi wa Online Admission Form

  1. Mara tu tutakapopokea Taarifa zako kwa njia ya WhatsApp au kwa kupiga namba za simu, utapokea SMS yenye control no. ya malipo.
  2. Baada tu ya kuhakiki taarifa za Malipo, utatumiwa Admission form kwa njia ya WhatsApp, WhatsApp number ile uliyotumia kutupatia taarifa zako.
  3. Taarifa za Mwanafunzi na Mzazi zinafika moja kwa moja Shuleni.

Need Help?

Contact us for assistance with the payment process

Phone:
+255 752 244 933
+255 766 659 974
+255 768 108 715
Email:
st@karoloboromeo.ac.tz
WhatsApp:
+255 785 728 716